Adawnage Band – HakunaThank you for visiting, Lyrics and Materials Here are for Promotional Purpose OnlyPlease add your comment below to support us. Thank You! LYRICS Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme Makerubi, Maserafi, Wote wakutazamia Ulimwengu umejawa, Utukufu wako Bwana Hakuna, Mungu kama wewe Hakuna, kamwe kama wewe Hakunaa, wa Kulinganishwa nawe Hakuna, Mungu kama wewe Hakuna, hakuna, Kamwe kama wewe Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme Makerubi, Maserafi, Wote wakutazamia Ulimwengu umejawa, Utukufu wako Bwana Hakuna, Mungu kama wewe … Continue reading Adawnage Band – Hakuna
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed