Israel Mbonyi – Nita Amini Lyrics
Thank you for visiting,
Lyrics and Materials Here are for Promotional Purpose Only
Please add your comment below to support us.
Thank You!
Nita Amini Lyrics Israel Mbonyi
Lyrics Are Arranged as sang by the Artist
OFFICIAL Video at Bottom of Page
[Verse]
Sasa naapa Hakuna
Miungu ntaamini
Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme
Na Sitauza urithi wa wokovu,
Anasa za Kisasa
NiNa uhakika waweza ,
Waweza kuniponya,
Hata usipo niponya
Sitaabudu Masanamu
[Chorus]
Naelewa maji na moto nitapita,
Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,
Wautuliza moyo wangu,
Si na mashaka
Wanibeba mgongoni.
Waweza tuma neno
La uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini
Waweza tuma neno la uzima,
Libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini.
[Verse]
Sasa naapa Hakuna
Miungu ntaamini
Satajitia unajisi, Chakula cha ufalme
Na Sitauza urithi wa wokovu,
Anasa za Kisasa
NiNa uhakika waweza ,
Waweza kuniponya,
Hata usipo niponya
Sitaabudu Masanamu.
[Chorus]
Naelewa maji na moto nitapita,
Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,
Wautuliza moyo wangu,
Si na mashaka
Wanibeba mgongoni.
Waweza tuma neno
La uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini
Waweza tuma neno la uzima,
Libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini.
Waweza tuma neno la uzima,
Libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini.
Nita Amini Lyrics Israel Mbonyi
[Bridge]
Si Mara y’a kwanza
Kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja,
We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,
We ni chemchemi ya uzima.
Si Mara y’a kwanza
Kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja,
We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,
We ni chemchemi ya uzima.
Si Mara y’a kwanza
Kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja,
We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,
We ni chemchemi ya uzima.
[Chorus]
Naelewa maji na moto nitapita,
Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,
Wautuliza moyo wangu,
Si na mashaka
Wanibeba mgongoni.
Waweza tuma neno
La uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini
Waweza tuma neno la uzima,
Libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini.
Waweza tuma neno la uzima,
Libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote
Bado nitaamini.
[Outro]
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini,
Hata usiniponye bado nitaamini
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini,
Hata usiniponye bado nitaamini.
Ukinijibu nitaamini ,
Hata usinijibu bado nitaamini
Ukibadilisha nitaamini ,
Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa
Mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda,
Wewe ni mwaminifu.
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini,
Hata usiniponye bado nitaamini.
Ukinijibu nitaamini ,
Hata usinijibu bado nitaamini
Kwenye uvuli wa
Mauti bado nitaamini.
Nina ushuhuda,
Wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda,
Wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda,
Wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda,
Wewe ni mwaminifu.
Kwenye uvuli wa
Mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
nitaamini, nitaamini, nitaamini, nitaamini
nitaamini, nitaamini, nitaamini.
Please Rate this Lyrics by Clicking the STARS below
Nita Amini Lyrics Israel Mbonyi
Also click to Follow US on FaceBook, InstaGram, and Twitter
END
Please Add a comment below if you have any suggestions.
Thank you & God Bless you!
The Lyrics are the property and Copyright of the Original Owners
Lyrics here are For Personal and Educational Purpose only!
Nita Amini Lyrics Israel Mbonyi